Felix Mendelssohn
Mandhari
Jakob Ludwig Felix Mendelssohn Bartholdy, anafahamika zaidi kama Felix Mendelssohn (3 Februari 1809 – 4 Novemba 1847) alikuwa mtunzi wa Opera, mpigaji kinanda na mwelekezi maarufu kutoka nchini Ujerumani. Huyu nae alikuwa mmoja kati ya watunzi mashuhuri wa kipindi cha Romantic.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Felix Mendelssohn House and Foundation, Leipzig Ilihifadhiwa 27 Machi 2008 kwenye Wayback Machine.
- Some info about the Mendelssohn's Violin Concerto Ilihifadhiwa 16 Januari 2006 kwenye Wayback Machine. at violinmp3.com
- Shughuli au kuhusu Felix Mendelssohn katika maktaba ya WorldCat catalog
- The Mendelssohn Project A project with the objective of "recording of the complete published and unpublished works of Felix and Fanny Mendelssohn".
- Complete recording of Songs without Words Ilihifadhiwa 23 Aprili 2008 kwenye Wayback Machine. by Daniel Gortler
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Felix Mendelssohn kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |