Q (gazeti)
Mandhari
- Kwa matumizi mengine ya Q, tafadhali fungua Q (maana).
Paul Rees | Paul Rees |
---|---|
Makundi | Muziki |
Hutolewa | Kila mwezi |
Mchapishaji | Bauer Media Group |
Nchi | Uingereza |
Lugha | Kiingereza |
Tovuti | Q the Music |
Q ni jina la gazeti la muziki ambalo hutolewa kila mwezi huko nchini Uingereza. Hadi kufikia mwezi wa Juni katika mwaka wa 2007, gazeti limetoa nakala takriban 130,179.[1]
Gazeti hili lilianzishwa na Mark Ellen na David Hepworth ambao walichoshwa na vyombo vya habari za muziki vya wakati huo, ambapo walikuwa wakihisi kwamba vinadharau vizazi vile ambavyo vinanunua muziki wa CD wa zamani.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Standard Certificate of Circulation - Q" (PDF). Audit Bureau of Circulation. 2007-08-16. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2009-03-27. Iliwekwa mnamo 2008-02-08.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Official Q website Ilihifadhiwa 15 Juni 2006 kwenye Wayback Machine.
- Q Magazine lists Ilihifadhiwa 13 Oktoba 2018 kwenye Wayback Machine.
- Q Magazine Subscription