1939
Mandhari
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1900 |
Miaka ya 1910 |
Miaka ya 1920 |
Miaka ya 1930
| Miaka ya 1940
| Miaka ya 1950
| Miaka ya 1960
| ►
◄◄ |
◄ |
1935 |
1936 |
1937 |
1938 |
1939
| 1940
| 1941
| 1942
| 1943
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1939 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 2 Machi - Uchaguzi wa Papa Pius XII
- 1 Septemba - Vita Kuu ya Pili ya Dunia ilianza.
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]Kalenda ya Gregori | 2025 MMXXV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5785 – 5786 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2778 |
Kalenda ya Ethiopia | 2017 – 2018 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1474 ԹՎ ՌՆՀԴ |
Kalenda ya Kiislamu | 1447 – 1448 |
Kalenda ya Kiajemi | 1403 – 1404 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2080 – 2081 |
- Shaka Samvat | 1947 – 1948 |
- Kali Yuga | 5126 – 5127 |
Kalenda ya Kichina | 4721 – 4722 甲辰 – 乙巳 |
- 28 Februari - Daniel Tsui, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1998
- 29 Machi - Terence Hill, mwigizaji wa filamu kutoka Italia
- 4 Aprili - Hugh Masekela, mwanamuziki wa Jazz kutoka Afrika Kusini
- 13 Aprili - Seamus Heaney, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1995
- 22 Aprili - Jason Miller, mwandishi na mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 25 Aprili - Ted Kooser, mshairi kutoka Marekani
- 7 Mei - Sidney Altman, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1989
- 22 Juni - Ada Yonath, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2009
- 11 Julai - Beth Mugo, mwanasiasa wa kike wa Kenya
- 26 Julai - Wopko Jensma, mshairi wa Afrika Kusini
- 1 Agosti - Robert James Waller, mwandishi wa Marekani
- 9 Agosti - Romano Prodi, mwanasiasa kutoka Italia
- 21 Agosti - Festus Mogae, Rais wa Botswana
- 5 Septemba - George Lazenby, mwigizaji filamu kutoka Australia
- 6 Septemba - Susumu Tonegawa, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1987
- 13 Septemba - Richard Kiel, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 17 Septemba - Carl Dennis, mshairi kutoka Marekani
- 30 Septemba - Jean-Marie Lehn, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1987
- 7 Oktoba - Harold Kroto, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1996
- 30 Oktoba - Leland Hartwell, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2001
- 18 Novemba - John O'Keefe, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2014
- 18 Desemba - Harold Varmus, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1989
bila tarehe
- Gabriel Mmole, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
- Stephen Dunn, mshairi kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 28 Januari - William Butler Yeats, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1923
- 10 Februari - Papa Pius XI
- 23 Agosti - Sidney Howard, mwandishi kutoka Marekani
Wikimedia Commons ina media kuhusu: