13 Oktoba
Mandhari
Sep - Oktoba - Nov | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 13 Oktoba ni siku ya 286 ya mwaka (ya 287 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 79.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1534 - Uchaguzi wa Papa Paulo III
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1563 - Mtakatifu Fransisko Caracciolo, padri mwanzilishi kutoka Italia
- 1890 - Conrad Michael Richter, mwandishi kutoka Marekani
- 1925 - Frank D. Gilroy, mwandishi kutoka Marekani
- 1929 - Richard Howard, mshairi kutoka Marekani
- 1934 - Nana Mouskouri, mwimbaji kutoka Ugiriki
- 1940 - Pharaoh Sanders, mwanamuziki wa Jazz kutoka Marekani
- 1941 - Paul Simon, mwanamuziki
- 1973 - Sven Constantin Voelpel, mtaalamu wa biashara na umeneja kutoka Ujerumani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 54 - Claudius, Kaisari wa Dola la Roma (tangu 41)
- 1987 - Walter Brattain, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1956
- 2003 - Bertram Brockhouse, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1994
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Teofilo wa Antiokia, Fausto, Januari na Marsiali, Fiorenso wa Thesalonike, Lubensi, Romulo wa Genova, Venansi wa Tours, Leoboni, Komgani, Simbati, Jeradi wa Aurillac, Kelidona n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 13 Oktoba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |