Vipengele
Kupiga simuUjumbeVikundiVituoMeta AIHaliUsalama
FaraghaBloguProgramuKituo cha UsaidiziKwa Biashara
Ingia
Pakua

Kuhusu WhatsApp

Programu Yetu

Zaidi ya watu bilioni 3 katika zaidi ya nchi 180 hutumia WhatsApp1ili kuendelea kuwasiliana na ndugu na marafiki, popote na wakati wowote. WhatsApp hailipiwi 2 na inatoa huduma rahisi, salama na ya uhakika ya kutuma ujumbe na kupiga simu, hupatikana kwenye simu kote duniani.

1 Naam, jina WhatsApp linatokana na maneno What's Up.

2 Gharama za data zinaweza kutozwa.

Azimio Letu

WhatsApp ilianza kama njia mbadala ya SMS. Bidhaa yetu sasa inasaidia kutuma na kupokea aina mbalimbali za maudhui: maandishi, picha, video, hati na eneo, pamoja na simu za sauti. Baadhi ya matukio ya binafsi zaidi katika maisha yako hushirikiwa kwa kutumia WhatsApp na ndiyo maana tumebuni ufumbaji wa mwisho-kwa-mwisho kwenye programu yetu. Kila uamuzi wa bidhaa unaongozwa na hamu yetu ya kuwaruhusu watu kuwasiliana popote ulimwenguni bila vizuizi.

Timu Yetu

WhatsApp ilianzishwa na Jan Koum na Brian Acton ambao hapo awali kwa pamoja walikuwa wanatumia Yahoo kwa miaka 20. WhatsApp ilijiunga na Facebook mwaka wa 2014, lakini inaendelea kufanya kazi kama programu tofauti yenye lengo maalum katika kujenga huduma ya ujumbe ambayo inafanya kazi haraka na kwa uhakika popote duniani.

Pakua
Nembo Kuu ya WhatsApp
Nembo Kuu ya WhatsApp
Pakua

Huduma Zetu

VipengeleBloguUsalamaKwa Biashara

Sisi ni nani

Kutuhusu sisiKaziKituo cha ChapaFaragha

Tumia WhatsApp

AndroidiPhoneMac/PCWhatsApp Web

Unahitaji msaada?

Wasiliana NasiKituo cha MsaadaProgramuUshauri wa Usalama
Pakua

WhatsApp LLC 2026 ©

Sheria na Sera ya FaraghaSitemap